- Admin
- #1
Hatua kwa Jinsi ya Kuweka Pesa BetPawa Tanzania kupitia Airtel Money.
www.betpawa.co.tz
Ili kuweka pesa kupitia Airtel kwa njia ya USSD, fuata maelekezo haya hapa chini:
Kiasi cha chini ni TSh100
Kumbuka: Gharama za mtandao zinaweza kutozwa.
Bet Small, Win BIG | Online Sports Betting | betPawa
- Piga *150*60#
- Chagua 5 - Lipa bili
- Chagua 6 - Michezo ya kubahatisha (Gaming and Betting)
- Chagua 1 - Kubashiri (Betting)
- Chagua # - Ifuate ukurasa unaofuata (Next)
- Chagua 17 - betPawa
- Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kuweka
- Weka Namba ya kumbukumbu: 445445
- Thibitisha kiasi cha kuweka (Ndiyo/Hapana)
- Weka PIN yako
Kiasi cha chini ni TSh100
Kumbuka: Gharama za mtandao zinaweza kutozwa.