Jinsi ya Kuweka Pesa BetPawa kupitia Airtel Money, Tanzania

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Cocoa

Administrator
Staff member
Hatua kwa Jinsi ya Kuweka Pesa BetPawa Tanzania kupitia Airtel Money.

Ili kuweka pesa kupitia Airtel kwa njia ya USSD, fuata maelekezo haya hapa chini:
  1. Piga *150*60#
  2. Chagua 5 - Lipa bili
  3. Chagua 6 - Michezo ya kubahatisha (Gaming and Betting)
  4. Chagua 1 - Kubashiri (Betting)
  5. Chagua # - Ifuate ukurasa unaofuata (Next)
  6. Chagua 17 - betPawa
  7. Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kuweka
  8. Weka Namba ya kumbukumbu: 445445
  9. Thibitisha kiasi cha kuweka (Ndiyo/Hapana)
  10. Weka PIN yako
Ukishapokea ujumbe wa uthibitisho (SMS), unaweza kuanza kubashiri mara moja.

Kiasi cha chini ni TSh100
Kumbuka: Gharama za mtandao zinaweza kutozwa.
 
Back
Top