Jinsi ya kuweka Pesa BetPawa kupitia Mixx by Yas (Tigo)

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
4
Jinsi ya kuweka Pesa Betpawa kupitia Mixx by Yas (Tigo)

Ili kuweka pesa kupitia Mixx by Yas kwenye tovuti ya betPawa, fuata maelekezo yaliyopo kwenye tovuti.

Kwa kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Mixx by Yas, fuata hatua hizi hapa chini:
  1. Piga *150*01#
  2. Chagua 4 - Lipa Bili
  3. Chagua 3 - Weka Namba ya Biashara
  4. Andika Namba ya Biashara: 445445
  5. Weka Kumbukumbu: PAWA
  6. Weka kiasi unachotaka kuweka na PIN yako
Kiasi cha chini cha kuweka ni TSh100
Kumbuka: Gharama ndogo za mitandao zinaweza kutozwa.
 
Back
Top