Jinsi ya kuweka Pesa BetPawa kupitia Vodacom M-Pesa, Tanzania

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
4
Hatua kwa hatua Jinsi ya kuweka Pesa BetPawa kupitia Vodacom M-Pesa, Tanzania

Ili kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Vodacom M-Pesa, fuata hatua hizi:
  1. Piga *150*00#
  2. Chagua 4 - Lipa kwa M-Pesa
  3. Kisha bonyeza 4 - Ingiza Namba ya Biashara
  4. Andika 445445
  5. Ingiza Kumbukumbu: PAWA
  6. Ingiza kiasi cha kuweka na PIN yako
  7. Baada ya kupokea SMS ya uthibitisho, unaweza kuanza kubashiri
Kiasi cha chini cha kuweka ni TSH100
Ada ya mtandao ni TSH30 kwa kuweka hadi TSH999
 
Back
Top