Jinsi ya Kutoa Pesa BetPawa baada ya Kushinda

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
4
Fungua ukurasa wa kutoa hela kwenye betPawa kwa kubonyeza link hapo chini.

Ukdimwa, andika majina yako kamili (jina la kwanza na la mwisho) kwenye sehemu husika.

Weka kiasi unachotaka kutoa (kiasi cha chini ni TSH 100).

Chagua ‘Request Withdraw’ ili kuendelea.

Hakikisha umeingia kwenye akaunti yako ya betPawa, kisha endelea na kutoa hela zako kwa kubonyeza hapo.
 
Back
Top