- Admin
- #1
Hakikisha umetumia namba ya simu uliyosajilia akaunti yako wakati wa kuweka pesa. Ukituma pesa kutoka namba tofauti, mfumo utaunda akaunti mpya moja kwa moja, na pesa zako zote zitaenda huko.
Ikiwa umetumia USSD kuweka pesa, hakikisha umetumia namba yetu mpya ya PayBill – 445445. Malipo yaliyotumwa kwa kutumia PayBill ya zamani hayatapokelewa.
Tafadhali fahamu kuwa sasa unaweza kuweka pesa kwa kutumia USSD kupitia Airtel, Vodacom, Halotel na TigoPesa.
Iwapo maelezo yote ya malipo yako ni sahihi lakini bado hujaona pesa zako kwenye akaunti, tafadhali wasiliana na timu yetu ya Huduma kwa Wateja na uwape namba ya simu pamoja na Transaction ID ya muamala uliokosekana.