- Admin
- #1
Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuweka Pesa BetPawa kupitia Halotel, Tanzania
Ili kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Halotel, fuata hatua hizi:
Kiasi cha chini cha kuweka ni TSH100
Hakuna ada ya mtandao (No Telco Fee)
Ili kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Halotel, fuata hatua hizi:
- Piga *150*88#
- Chagua 4 - Lipa Bili (PayBill)
- Kisha bonyeza 3 - Namba ya Biashara (Business Number)
- Andika Namba ya Biashara: 445445
- Weka Kumbukumbu: PAWA
- Ingiza kiasi cha kuweka na PIN yako
- Bonyeza 1 kuthibitisha malipo kwa Pawa
Kiasi cha chini cha kuweka ni TSH100
Hakuna ada ya mtandao (No Telco Fee)