- Admin
- #1
Hatua kwa hatua Jinsi ya kuweka Pesa BetPawa kupitia Vodacom M-Pesa, Tanzania
Ili kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Vodacom M-Pesa, fuata hatua hizi:
Ada ya mtandao ni TSH30 kwa kuweka hadi TSH999
Ili kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Vodacom M-Pesa, fuata hatua hizi:
- Piga *150*00#
- Chagua 4 - Lipa kwa M-Pesa
- Kisha bonyeza 4 - Ingiza Namba ya Biashara
- Andika 445445
- Ingiza Kumbukumbu: PAWA
- Ingiza kiasi cha kuweka na PIN yako
- Baada ya kupokea SMS ya uthibitisho, unaweza kuanza kubashiri
Ada ya mtandao ni TSH30 kwa kuweka hadi TSH999