- Admin
- #1
Jinsi ya Kuomba Cheti Mbadala - Huduma hii ni kwa wale waliopoteza au kuharibu vyeti vyao vya kidato cha nne, kidato cha sita, au vya taaluma (GATCE/GATSCCE na/au DSEE). Huduma hii inahusu waliofanya mitihani ya CSEE kuanzia mwaka 2008, na wale wa ACSEE, GATCE/GATSCCE au DSEE kuanzia mwaka 2009 hadi sasa. Maombi ya huduma hii yanafanyika mtandaoni.
eservices.necta.go.tz