- Admin
- #1
Jinsi ya Kulipia Vifurushi vya Startimes Tanzania kwa Urahisi 2025 (Dish na Antena)
Ikiwa unatumia Startimes Tanzania na unatafuta njia rahisi za kulipia vifurushi vya king’amuzi, kuna njia nyingi zinazopatikana kama M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, benki au kupitia wakala wa Startimes. Hapa chini tumekuandalia mwongozo mfupi na rahisi.
Njia za Kulipia Vifurushi vya Startimes Tanzania:
Hatua:
Hatua:
Ikiwa unatumia Startimes Tanzania na unatafuta njia rahisi za kulipia vifurushi vya king’amuzi, kuna njia nyingi zinazopatikana kama M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, benki au kupitia wakala wa Startimes. Hapa chini tumekuandalia mwongozo mfupi na rahisi.
Njia za Kulipia Vifurushi vya Startimes Tanzania:
1. Kulipia kwa M-Pesa
Njia rahisi na inayopatikana kwa urahisi popote.
Hatua:
- Piga *150*00#
- Chagua Lipia Bili
- Chagua King’amuzi > StarTimes
- Ingiza Namba ya Smartcard
- Weka kiasi cha kifurushi
- Thibitisha kwa namba ya siri
- Utapokea ujumbe wa kuthibitisha malipo.
2. Kulipia kwa Tigo Pesa
Pia ni njia salama na ya haraka kulipa kifurushi chako.
Hatua:
- Piga *150*01#
- Chagua Lipa Bili
- Chagua Majina ya Kampuni
- Chagua Ving’amuzi (2)
- Chagua Startimes (2)
- Chagua Weka namba ya kumbukumbu (1)
- Ingiza Smartcard Namba
- Weka kiasi cha kifurushi
- Ingiza namba ya siri
- Utaona ujumbe wa mafanikio
- Hakikisha namba ya Smartcard ni sahihi.
- Unapolipa, weka kiasi kulingana na kifurushi unachotumia.
- Unaweza pia kutumia wakala wa Startimes au malipo ya moja kwa moja kupitia benki.
3. Kulipia Kwa Airtel Money
Watumiaji wa Airtel Money wanaweza pia kulipia kwa urahisi:- Piga *150*60#
- Chagua lipa bili (5)
- Chagua kampuni (2)
- Chagua Tv Ving`amuzi (1)
- Chagua Startime (3).
- Weka namba ya kumbukumbu ya Startimes.
- Ingiza kiasi cha malipo.
- Thibitisha na kutuma.
4. Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Halopesa
- Piga *150*88# kwa Menu ya Halopesa:
- Chagua “Lipia Bili”:
- Chagua “StarTimes”:
- Weka Namba ya Smartcard:
- Ingiza Kiasi:
- Thibitisha kwa PIN:
- Pokea SMS ya Thibitisho