- Admin
- #1
TRA matokeo ya usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza matokeo ya interview ya kuandika kwa mwaka 2025 kwa kada mbalimbali kama vile Accountant II, Human Resource Officer II, na Tax Management Officer II. Orodha kamili ya majina ya waliofaulu pamoja na alama zao imechapishwa kwenye tovuti rasmi ya TRA.
Kwa waombaji waliofaulu, ratiba ya usaili wa mahojiano ya mdomo na vitendo ilitolewa tarehe 29 Aprili 2025. Ratiba hiyo inapatikana kupitia tovuti ya TRA. tra.go.tz
Kwa maelezo zaidi na kuona majina ya waliofaulu, tafadhali tembelea tovuti ya TRA