TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 22-05-2025

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
7
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wililayaa ya Itigi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo: -

Tuma maombi hapa
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 22-05-2025
 
Back
Top