TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI 02-06-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
9
Hili hapa tangazo la nafasi za kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira Mpya kwa mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kilichotolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, hivyo anatangaza nafasi za kazi kwa wananchi wa Tanzania wenye sifa na ujuzi wa nafasi zifuatazo.

Tuma maombi hapa.
 
Back
Top