Arthur
New member
- Reaction score
- 0
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) ina kazi muhimu sana ya kusaidia kuunganisha taasisi za serikali na watu wenye sifa, kuhakikisha nafasi za kazi serikalini zinajazwa na watu wenye uwezo na moyo wa kujitolea. Hususan, fursa za kazi kupitia UTUMISHI hapa Tanzania zinatoa nafasi kwa Watanzania kuweza kupata ajira ambazo zina mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi yetu.
www.ajira.go.tz
Public Service Recruitment Secretariat | PSRS
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
