Orodha ya Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI)

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Cocoa

Administrator
Staff member
Orodha ya Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI)
NA.
TAASISI
AINA YA TAASISI
1. Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC)Idara Inayojitegemea
2.Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)Wakala wa Utendaji
3.Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)Wakala wa Utendaji
4.Shirika la Elimu Kibaha (KEC)Taasisi ya Umma
5.Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI)Taasisi ya Umma
6.Shirika la Masoko Kariakoo (KMC)Shirika la Umma
7.Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa (LGLB)Taasisi ya Umma
 
Back
Top