Mfano wa Barua ya Kuomba Mafao ya Kuacha | Kuachishwa Kazi NSSF

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
4
Mfano wa Barua ya Kuomba Mafao ya Kuacha | Kuachishwa Kazi NSSF

Fata hatua hizi kupata mafao yako NSSF:
  • Chukua hiyo barua ya kuacha/kuachishwa kazi
  • Nenda tawi lolote la NSSF, utapewa fomu ya viambatanisho (picha tatu, NIDA, bank statement na hiyo barua) Ndani ya siku 15 mpaka mwezi unapewa mpunga wako.
Kumbuka:
Mwanachama atalipwa asilimia 33.3 ya mshahara wake aliokuwa anapata wakati akiondoka kwenye ajira. Malipo hayo yatalipwa kwa kila mwezi mfululizo kwa kipindi kisichozidi miezi sita ndani ya mwaka mmoja. Malipo ya kila mwezi yatakoma iwapo mwanachama atapata ajira

Mwanachama ambaye atakuwa hajatimiza michango ya miezi 18 atalipwa mkupuo wa asilimia hamsini (50%) ya jumla ya michango yake.
 

Attachments

Back
Top