- Admin
- #1
Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 01/06/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia matokeo hapa.
www.ajira.go.tz
Angalia matokeo hapa.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
