- Admin
- #1
Orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania limetoa orodha rasmi ya majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali kwa mwaka 2025. Orodha hii inahusu wale waliokamilisha mchakato wa usaili uliofanyika kati ya tarehe 28 Aprili hadi 11 Mei 2025. Majina hayo yamechapishwa kupitia tovuti ya Jeshi la Polisi www.polisi.go.tz, ambapo kila aliyechaguliwa anatakiwa kufika na nyaraka muhimu kama vile vyeti halisi vya elimu, cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa (NIDA), pamoja na picha mbili za pasipoti kwa ajili ya utambuzi.
Waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kwa tarehe watakazoelekezwa, tayari kuanza mafunzo rasmi. Jeshi la Polisi limeonya dhidi ya watu wanaojihusisha na utapeli au kutoa ahadi za ajira kwa njia zisizo rasmi, na kusisitiza kuwa taarifa sahihi zinapatikana tu kupitia tovuti yao au ofisi za polisi za mikoa. Waombaji wanahimizwa kufuata maelekezo yote kikamilifu ili kuepuka usumbufu wowote.
Angalia hapa majina yote.