Ajira tamisemi go tz oteas

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Cocoa

Administrator
Staff member
Ajira tamisemi go tz oteas Huu hapa mfumo wa maombi ya ajira ya kujitolea au Mkataba Tamisemi Kada ya Walimu
Maelekezo.
  • Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni AFYA au ELIMU
  • Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia "Jisajili" kuanza kuomba
  • Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
  • Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
  • Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
  • Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
  • Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
  • Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako
  • Bofya hapa ili ujisajili kwa ajili ya kutuma maombi
Kwa Msaada
Tafadhali piga simu huduma kwa mteja : 026-2160210 au 0735-160210
 
Back
Top