Ada / Gharama ya Cheti cha Kuzaliwa RITA

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
4
Hizi hapa Ada / Gharama ya Cheti cha Kuzaliwa RITA
Ada / Gharama ya Cheti cha Kuzaliwa RITA

Kizazi kinachoandikishwa chini ya miaka kumi:

  • 8,000 Tsh
Kizazi kinachoandikishwa zaidi ya miaka kumi:
  • 20,000 Tsh
Kufanya masahihisho ya cheti:
  • 13,000 Tsh
Kupata nakala ya cheti kilichopotea:
  • 7,000 Tsh
Uhakiki wa cheti:
  • 6,000 Tsh
Piga simu BURE: 0800117482 - Kwa mawasiliano zaidi.
 
Hizi hapa Ada / Gharama ya Cheti cha Kuzaliwa RITA
View attachment 4
Kizazi kinachoandikishwa chini ya miaka kumi:

  • 8,000 Tsh
Kizazi kinachoandikishwa zaidi ya miaka kumi:
  • 20,000 Tsh
Kufanya masahihisho ya cheti:
  • 13,000 Tsh
Kupata nakala ya cheti kilichopotea:
  • 7,000 Tsh
Uhakiki wa cheti:
  • 6,000 Tsh
Piga simu BURE: 0800117482 - Kwa mawasiliano zaidi.
Ahsante, nauliza kuwa, Je, ni makao makuu tu au Kila mkoa una Mahali pa kupatiwa huduma?
 
Back
Top