Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) inasimamia utekelezaji wa Sera mbalimbali za Kisekta na Sheria ya Tawala za Mikoa Sura 97, Sheria ya Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya, Sura 287, Sheria ya Serikali za Mitaa Mamlaka za Miji Sura 288 na Sheria ya...