Hakikisha umetumia namba ya simu uliyosajilia akaunti yako wakati wa kuweka pesa. Ukituma pesa kutoka namba tofauti, mfumo utaunda akaunti mpya moja kwa moja, na pesa zako zote zitaenda huko.
Ikiwa umetumia USSD kuweka pesa, hakikisha umetumia namba yetu mpya ya PayBill – 445445. Malipo...