- Admin
- #1
Mfano wa Barua ya Kuomba Mafao ya Kuacha | Kuachishwa Kazi NSSF
Fata hatua hizi kupata mafao yako NSSF:
Mwanachama atalipwa asilimia 33.3 ya mshahara wake aliokuwa anapata wakati akiondoka kwenye ajira. Malipo hayo yatalipwa kwa kila mwezi mfululizo kwa kipindi kisichozidi miezi sita ndani ya mwaka mmoja. Malipo ya kila mwezi yatakoma iwapo mwanachama atapata ajira
Mwanachama ambaye atakuwa hajatimiza michango ya miezi 18 atalipwa mkupuo wa asilimia hamsini (50%) ya jumla ya michango yake.
Fata hatua hizi kupata mafao yako NSSF:
- Chukua hiyo barua ya kuacha/kuachishwa kazi
- Nenda tawi lolote la NSSF, utapewa fomu ya viambatanisho (picha tatu, NIDA, bank statement na hiyo barua) Ndani ya siku 15 mpaka mwezi unapewa mpunga wako.