- Admin
- #1
Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili polisi 2025 Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili wa ajira mpya kwa mwaka 2025. Kwa mujibu wa tangazo rasmi lililotolewa tarehe 23 Aprili 2025, usaili utafanyika kuanzia tarehe 28 Aprili hadi 11 Mei 2025 katika vituo mbalimbali nchini. Waombaji waliotuma maombi kupitia mfumo wa ajira wa Jeshi la Polisi wanashauriwa kuangalia majina yao kupitia tovuti rasmi ya Jeshi la Polisi.
Kwa maelezo zaidi na kuona orodha kamili ya majina ya walioitwa kwenye usaili, tafadhali tembelea tovuti ya Jeshi la Polisi kupitia kiungo hiki polisi.go.tz/ajira.
Kwa mwongozo wa hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kuangalia majina ya walioitwa kwenye usaili wa Jeshi la Polisi 2025, unaweza kutazama video ifuatayo.