Arthur
New member
- Reaction score
- 0
Utumishi ni chanzo kikuu cha taarifa kuhusu ajira serikalini, matangazo ya kazi, miongozo ya utumishi wa umma, sera, na fursa mbalimbali kwa watumishi wa umma. Kupitia tovuti hii, watanzania wanaweza kupata taarifa kuhusu nafasi mpya za ajira, mafunzo, mabadiliko ya kiutumishi kama kupandishwa vyeo, pamoja na matangazo muhimu yanayohusu maendeleo ya rasilimali watu serikalini.
www.utumishi.go.tz
Ajira Portal
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
www.ajira.go.tz
Utumishi | Mwanzo
President’s Office Public Service Management and Good Governance's Official Website | Tovuti Rasmi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Ajira Portal
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Public Service Recruitment Secretariat | PSRS
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
