- Admin
- #1
Tangazo la nafasi za kazi Kwa niaba ya Taasisi ya Maji (Water Institute - WI) na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Kahama Shinyanga (KASHWASA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi kujitokeza kuomba nafasi tano (5) za kazi kama zilivyoainishwa hapa chini.