Kikosi cha Simba leo Vs AL MASRY Tarehe 09/04/2025

Cocoa

Administrator
Staff member
Reaction score
4
Hiki hapa Kikosi cha Simba leo Vs AL MASRY Utaangalia Mnyama akitinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ukiwa wapi? Kikosi cha kutupeleka nusu fainali ya TotalEnergiesCAFCC
Kikosi cha Simba leo Vs AL MASRY.webp
 
Najua ( AL MASRY ) wataingia na game plan mbaya.. game plan ambayo itawafanya wao kutaka kutetea magoli yao 2.. Na sisi tunatakiwa kucheza kwa ushirikiano mkubwa sana.. tusiwe wachoyo..tusiwe wabinafsi.. hatutaki mchezaji afunge yeye ..tunataka SIMBA SC ishinde na ifuzu..
 
Back
Top