Hatua kwa hatua Jinsi ya kuweka Pesa BetPawa kupitia Vodacom M-Pesa, Tanzania
Ili kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Vodacom M-Pesa, fuata hatua hizi:
Piga *150*00#
Chagua 4 - Lipa kwa M-Pesa
Kisha bonyeza 4 - Ingiza Namba ya Biashara
Andika 445445
Ingiza Kumbukumbu: PAWA
Ingiza kiasi cha...