Haya hapa matokeo ya usaili wa vitendo uliofanyika tarehe 01/06/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia matokeo hapa...
Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 01/06/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia hapa matokeo...
Majina ya walioitwa kwenye usaili wa ajira za Jeshi la Polisi Tanzania kwa mwaka 2025 yametolewa rasmi. Kwa sasa, unaweza kupakua orodha kamili ya majina hayo kupitia kiungo rasmi cha PDF kilichotolewa na Jeshi la Polisi.
Tangazo hili linajumuisha taarifa muhimu kuhusu:
Majina ya waombaji...
MPANGILIO WA VITUO NA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KADA YA DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) -KUANZIA TAREHE 24 MEI HADI TAREHE 17 JUNI,2025 MAJINA YA NYONGEZA
Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Dereva II wanapaswa kuzingatia vituo na tarehe ya kuafanya usaili kama ilivyoainishwa...
Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili polisi 2025 Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili wa ajira mpya kwa mwaka 2025. Kwa mujibu wa tangazo rasmi lililotolewa tarehe 23 Aprili 2025, usaili utafanyika kuanzia tarehe 28 Aprili hadi 11 Mei...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza matokeo ya usaili wa kuandika kwa mwaka 2025 kwa kada mbalimbali kama vile Accountant II, Human Resource Officer II, na Tax Management Officer II. Orodha kamili ya majina ya waliofaulu pamoja na alama zao imechapishwa kwenye tovuti rasmi ya TRA.
Kwa...
Hivi hapa vituo vya usaili Ajira Portal leo 09 April 2025 Jamhuri ya muungano wa tanzania Ofisi ya rais Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma Vituo vya usaili wa walimu wa masomo ya amali na biashara Utaakaofanyika tarehe 15 aprili, 2025...