Ajira Portal, inayosimamiwa na Ofisi ya Rais kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), imekuwa msaada mkubwa kurahisisha mchakato wa kuomba kazi serikalini. Portal hii ilianzishwa ili kuhakikisha uwazi, ufanisi, na usawa katika ajira za umma, na sasa imekuwa kama mwanga wa...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) ina kazi muhimu sana ya kusaidia kuunganisha taasisi za serikali na watu wenye sifa, kuhakikisha nafasi za kazi serikalini zinajazwa na watu wenye uwezo na moyo wa kujitolea. Hususan, fursa za kazi...