Jinsi ya Kujisajili Kimtandao NIDA Mwombaji wa Utambulisho wa Taifa anatakiwa awe, raia au mgeni mkaazi anayeishi nchini kihalali na mwenye umri wa miaka 18 na zaidi.
Hatua za Kujisajili NIDA, Kimtandao:
i. Fungua kiunganishi wezeshi https://eonline.nida.go.tz kwa kutumia kifaa...