Hatua kwa hatua Jinsi ya Kuweka Pesa BetPawa kupitia Halotel, Tanzania
Ili kuweka pesa kwa njia ya USSD kupitia Halotel, fuata hatua hizi:
Piga *150*88#
Chagua 4 - Lipa Bili (PayBill)
Kisha bonyeza 3 - Namba ya Biashara (Business Number)
Andika Namba ya Biashara: 445445
Weka Kumbukumbu: PAWA...