PAKUA HAPA FOMU YA KUJIUNGA NA KOZI ZA ADEM KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
Ada, gharama, Sifa za kujiunga na kozi za ADEM 2025 Mtendaji Mkuu anawatangazia walimu wote wanaopenda kujiendeleza katika Kozi zinazotolewa na Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu – ADEM kwa mafunzo ya muda mrefu ya...