Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa ya kujaza nafasi zilizotolewa na kibali chenye Kumb.Na FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma...