Utumishi ni chanzo kikuu cha taarifa kuhusu ajira serikalini, matangazo ya kazi, miongozo ya utumishi wa umma, sera, na fursa mbalimbali kwa watumishi wa umma. Kupitia tovuti hii, watanzania wanaweza kupata taarifa kuhusu nafasi mpya za ajira, mafunzo, mabadiliko ya kiutumishi kama kupandishwa...
Ajira Portal, inayosimamiwa na Ofisi ya Rais kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), imekuwa msaada mkubwa kurahisisha mchakato wa kuomba kazi serikalini. Portal hii ilianzishwa ili kuhakikisha uwazi, ufanisi, na usawa katika ajira za umma, na sasa imekuwa kama mwanga wa...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) ina kazi muhimu sana ya kusaidia kuunganisha taasisi za serikali na watu wenye sifa, kuhakikisha nafasi za kazi serikalini zinajazwa na watu wenye uwezo na moyo wa kujitolea. Hususan, fursa za kazi...
Hivi hapa vituo vya usaili Ajira Portal leo 09 April 2025 Jamhuri ya muungano wa tanzania Ofisi ya rais Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma Vituo vya usaili wa walimu wa masomo ya amali na biashara Utaakaofanyika tarehe 15 aprili, 2025...