Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitangaza majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili wa nafasi mbalimbali, ikiwemo kada ya ualimu, na kuitwa kazini. Tangazo hilo linapatikana kupitia tovuti rasmi ya ajira (ajira.go.tz) ambapo waombaji waliotajwa wanatakiwa kuchukua barua zao za...