Search results

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. C

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 22-05-2025

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wililayaa ya Itigi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe...
  2. C

    MPANGILIO WA VITUO NA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KADA YA DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) -KUANZIA TAREHE 24 MEI HADI TAREHE 17 JUNI,2025 MAJINA

    MPANGILIO WA VITUO NA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KADA YA DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) -KUANZIA TAREHE 24 MEI HADI TAREHE 17 JUNI,2025 MAJINA YA NYONGEZA Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Dereva II wanapaswa kuzingatia vituo na tarehe ya kuafanya usaili kama ilivyoainishwa...
  3. C

    Majina ya walimu walioitwa kazini 2025 pdf

    Orodha ya majina ya walimu walioitwa kazini mwaka 2025 imetolewa rasmi kupitia PDF maalum iliyochapishwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, ikijumuisha walimu wa masomo mbalimbali wa shule za msingi na sekondari waliopangiwa vituo vya kazi baada ya mchakato wa ajira kukamilika. Angalia hapa majina...
  4. C

    Majina ya walioitwa kwenye usaili Polisi 2025

    Majina ya walioitwa kwenye usaili Polisi 2025 Tanzania limetoa tangazo rasmi la kuitwa kwenye usaili kwa mwaka 2025. Usaili huu unahusisha waombaji wa nafasi mbalimbali za ajira ndani ya Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa tangazo hilo, usaili utafanyika kuanzia tarehe 28 Aprili hadi 11 Mei 2025...
  5. C

    TRA matokeo ya usaili

    TRA matokeo ya usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza matokeo ya interview ya kuandika kwa mwaka 2025 kwa kada mbalimbali kama vile Accountant II, Human Resource Officer II, na Tax Management Officer II. Orodha kamili ya majina ya waliofaulu pamoja na alama zao imechapishwa kwenye...
  6. C

    Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania

    Orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania limetoa orodha rasmi ya majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali kwa mwaka 2025. Orodha hii inahusu wale waliokamilisha mchakato wa usaili uliofanyika kati ya tarehe 28 Aprili hadi 11 Mei 2025. Majina...
  7. C

    Majina ya Polisi 2025

    Jeshi la Polisi Tanzania limetoa rasmi orodha ya majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili wa ajira kwa mwaka 2025, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea uteuzi wa vijana watakaojiunga na mafunzo ya awali ya polisi. Tangazo hili linajumuisha majina ya waombaji waliokidhi vigezo vya awali na...
  8. C

    www.polisi.go.tz ajira 2025

    www.polisi.go.tz ajira 2025 Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania kwa mwaka 2025. Tangazo rasmi lilitolewa tarehe 23 Aprili 2025, likieleza kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28 Aprili hadi 11 Mei 2025 katika vituo mbalimbali nchini. Waombaji waliotuma...
  9. C

    Walioitwa kwenye usaili polisi 2025

    Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa kwenye usaili polisi 2025 Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza majina ya waombaji walioitwa kwenye usaili wa ajira mpya kwa mwaka 2025. Kwa mujibu wa tangazo rasmi lililotolewa tarehe 23 Aprili 2025, usaili utafanyika kuanzia tarehe 28 Aprili hadi 11 Mei...
  10. C

    Majina ya waliochaguliwa polisi 2025

    Hii hapa orodha ya Majina ya waliochaguliwa polisi 2025 Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali kwa ajili ya ajira mpya mwaka 2025. Tangazo hilo linapatikana kupitia tovuti rasmi ya Jeshi la Polisi polisi.go.tz. Kwa mujibu wa taarifa...
  11. C

    Walimu walioitwa kazini 2025

    Walimu walioitwa kazini 2025 Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitangaza majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili wa nafasi mbalimbali, ikiwemo kada ya ualimu, na kuitwa kazini. Tangazo hilo linapatikana kupitia tovuti rasmi ya ajira (ajira.go.tz) ambapo waombaji waliotajwa...
  12. C

    Ajira za walimu 2025

    Ajira za walimu 2025 Kwa sasa, hakuna tangazo rasmi la ajira mpya za walimu kwa mwaka 2025 lililotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI. Hata hivyo, fursa mbalimbali za kujitolea katika shule za msingi chini ya miradi maalum, kama vile Mradi wa GPE - TSP, zimetangazwa hivi karibuni. Kwa mfano...
  13. C

    Matokeo ya usaili TRA 2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza matokeo ya usaili wa kuandika kwa mwaka 2025 kwa kada mbalimbali kama vile Accountant II, Human Resource Officer II, na Tax Management Officer II. Orodha kamili ya majina ya waliofaulu pamoja na alama zao imechapishwa kwenye tovuti rasmi ya TRA. Kwa...
  14. C

    Ajira portal news ualimu today

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilitangaza majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili wa nafasi mbalimbali, ikiwemo kada ya ualimu, na kuitwa kazini. Tangazo hilo linapatikana kupitia tovuti rasmi ya ajira (ajira.go.tz) ambapo waombaji waliotajwa wanatakiwa kuchukua barua zao za...
  15. C

    Majina ya usaili polisi 2025

    Majina ya walioitwa kwenye usaili wa Jeshi la Polisi 2025 yametangazwa rasmi na yanapatikana kupitia tovuti ya Jeshi la Polisi Tanzania (polisi.go.tz) pamoja na mbao za matangazo katika mikoa husika. Orodha hiyo inajumuisha waombaji waliokidhi vigezo vya awali na sasa wanatakiwa kuhudhuria...
  16. C

    FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI VETA

    FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI Appendix 1 KATIKA VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA MWAKA 2025 https://www.veta.go.tz/publication/doc/4p4LjXQvERnokDnJ5cnz798smDUOgbVCibvk2Mne.pdf
  17. C

    Kozi za muda mrefu zitolewazo na Vyuo vya VETA Tanzania 2025-2026

    Hii hapa orodha ya Kozi za muda mrefu zitolewazo na Vyuo vya VETA Tanzania 2025-2026 https://www.veta.go.tz/publication/VETA_long_courses.pdf
  18. C

    Mtokeo ya VETA June 2024 - CBA, NABE

    Haya hapa Mtokeo ya VETA June 2024 - CBA, NABE https://www.veta.go.tz/june2024results/index.html
  19. C

    Matokeo ya APPRENTICESHIP June 2025 (VETA)

    Haya hapa Matokeo ya APPRENTICESHIP June 2025 (VETA) https://www.veta.go.tz/june2024results/apprenticeship.html
  20. C

    Matokeo ya NABE December 2025 (VETA)

    Haya hapa Matokeo ya NABE December 2025 (VETA) https://www.veta.go.tz/june2024results/nabe.html
Back
Top