Najua ( AL MASRY ) wataingia na game plan mbaya.. game plan ambayo itawafanya wao kutaka kutetea magoli yao 2.. Na sisi tunatakiwa kucheza kwa ushirikiano mkubwa sana.. tusiwe wachoyo..tusiwe wabinafsi.. hatutaki mchezaji afunge yeye ..tunataka SIMBA SC ishinde na ifuzu..