Recent content by Ochu

  1. O

    Walioitwa kazini Ajira Portal na Utumishi leo 9/4/2025

    Majina ya walimu machache sana jamani nini mbaya kwani?
  2. O

    Kikosi cha Simba leo Vs AL MASRY Tarehe 09/04/2025

    Najua ( AL MASRY ) wataingia na game plan mbaya.. game plan ambayo itawafanya wao kutaka kutetea magoli yao 2.. Na sisi tunatakiwa kucheza kwa ushirikiano mkubwa sana.. tusiwe wachoyo..tusiwe wabinafsi.. hatutaki mchezaji afunge yeye ..tunataka SIMBA SC ishinde na ifuzu..
  3. O

    Jinsi ya Kujua Kama Namba Ya NIDA imetoka Ipo Tayari 2025/2026

    Nida taratibu zao zipo slow sana.
  4. O

    Mfano wa Barua ya Kuomba Mafao ya Kuacha | Kuachishwa Kazi NSSF

    Huu ni mfano kweli hahaha
Back
Top